Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mzee yupo tayari kwa kupiga kura kumchagua Rais,Mbunge na Diwani wa Chama cha Mapinduzi.January
Makamba akizungumza na Wananchi wake wa kata ya Mamba,Kubwa ametekeleza
Upatikanaji wa Umeme,Usambazi wa maji na uanzishwaji wa kituo cha Afya.January Makamba chaguo la Wanabumbuli.Watoto nao ni Chipukizi wa Chama cha Mapinduzi kwa uongozi Ujao."Mabadiliko ya kweli yapo CCM"
January
Makamba akinadi sera zake na kuzungumzia Utekelezaji wa Ilani ya Chama
cha Mapinduzi kwa jimbo la Bumbuli kata ya Mbuzii.Vijana wa kazi wa Chama cha Mapinduzi wakiwasili kata ya Dule.Wananchi wa Kata ya dule wakionesha Umoja wao kwa Chama cha Mapinduzi.Mwigulu Nchemba akimnadi Mbunge wa Bumbuli Ndg.January Makamba kwa Wananchi wa kata ya Dule.Mbunge ni January Makamba kwa Bumbuli.Januray Makamba akizungumza na Wananchi wake ,Kubwa ameomba kura za wingi iliaweze kuwa Mbunge wao kwa kipindi cha pili.Mbunge Mtarajiwa wa Jimbo la Bumbuli Mh.January Makamba akizungumza na Mwananchi wake mwenye Ulemavu.
Wananchi
wa kata ya Bumbuli wakifuatilia Mkutano wa Mbunge wao Mh.January
Makamba hii leo.Wananchi wanamekaa Vilimani kutokana na Uwanja kujaa
Maji yaliyotokana na Mvua.Mwigulu Nchemba akimuombea kura Rais Mtarajiwa Mh.J.Pombe Magufuli,January Makamba na Madiwani wa Chama cha Mapinduzi.Mbunge
wa Bumbuli akuungumza na Wanabumbuli Jioni ya leo,Makamba ameomba
ridhaa ya kupigiwa kura kuwa Mbunge wa Bumbuli kwa kipindi cha pili.Pia
ameomba wananchi kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura,Kwa upande wa
maendeleo tayari ameshaanza ujenzi wa uwanja wa Mpira wa kisasa kwa
Bumbuli,Usambazaji wa maji kwenye mitaa na Uboreshaji wa Miundombinu ya
Barabara.Wananchi
wa Bumbuli wanachotaka kukisikia ni January Makamba kuwa Mbunge
wao,Mapokezi ya kila kata yanadhihirisha amewatendea haki kwenye
usimamizi wa shughuli za Maendeleo.
Picha na Sanga Festo Jr.
0 comments:
Post a Comment