Mbunge
wa Jimbo la Mtera (CCM) Livingstone Lusinde akiunguruma katika mkutano
wa hadhara wa kumuombe kura mgombea Udiwani Kata ya Majengo wilayani
Korogwe Mkoani Tanga Mustapha Shengwatu wakati
wa uzinduzi wa kampeni hiyo zilizofanyika kwenye uwanja wa sabasaba
wilayani Korogwe ambapo aliwataka wananchi kumchagua mgombea wa CCM kwani ndiye ambaye anaweza kuwapa maendeleo kwa haraka zaidi
|
Mbunge
wa Jimbo la Mtera (CCM) Livingstone Lusinde akiunguruma katika mkutano
wa hadhara wa kumuombe kura mgombea Udiwani Kata ya Majengo wilayani
Korogwe Mkoani Tanga Mustapha Shengwatu wakati
wa uzinduzi wa kampeni hizo zilizofanyika kwenye uwanja wa sabasaba
wilayani Korogwe ambapo aliwataka wananchi kumchagua mgombea wa CCM
Mbunge
wa Jimbo la Mtera (CCM) Livingstone Lusinde kushoto akimnadi mgombea
udiwani Kata ya Majengo Halmashauri ya Korogwe Mji kupitia Chama cha
Mapinduizi (CCM) Mustapha Shengwatu kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Sabasaba sokoni wilayani humo
|
Katibu
wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Mkoa wa Tanga Allan Kingazi akizungumza
katika uzinduzi huo wa kampeni kumuombea kura mgombea wa CCM Mustapha Shengwatu kupitia kata ya Majengo Halmashauri ya Korogwe Mji
Katibu
wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Mkoa wa Tanga Allan Kingazi akizungumza
katika uzinduzi huo wa kampeni kumuombea kura mgombea wa CCM Mustapha Shengwatu kupitia kata ya Majengo Halmashauri ya Korogwe Mji
|
Mwenyekiti wa CCM Korogwe Vijijini,Nassoro Hemedi Malingumu akizungumza katika mkutano huo wa hadhara
|
Mwenyekiti
wa CCM Korogwe Mjini Emanuel Charles akizungumza katika mkutano huo
kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Mtera,Livingstone Lusinde maarufu kama
Kibajaji ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa kampeni hizo
|
Mbunge
wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stephen Ngonyani alimaarufu Proffesa
Maji Marefu akizungumza katika mkutano huo ambapo aliwataka wananchi wa
Kata ya Majengo kumchagua mgombea wa CCM ili waweze kushirikiana naye
kuhakikisha maendeleo yanapatikana kwa kasi zaidi
|
Mbunge
wa Jimbo la Korogwe Mjini (CCM) Marry Chatanda akizungumza katika
mkutano huo ambapo aliwataka wananchi kuhakikisha hawafanyi makosa kwa
kumpa kura nyingi za kutosha mgombea udiwani wa CCM kwani dhamira yake
ni kuhakikisha anawapatia maendeleo kwa kiwango kikubwa
|
Katibu wa CCM Korogwe Mjini Ally Issa Ally akizungumza katika mkutano huo wa hadhara
|
Mgombea
Udiwani wa Kata ya Majengo katika Halmashauri ya Korogwe Mji kupitia
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mustapha Shengwatu akiwahutubia wananchi
katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Sabasaba sokoni
|
Katibu
wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Mkoa wa Tanga Allan Kingazi katikati
akifuatilia hotuba ya Mbunge wa Jimbo la Mtera mkoani Dodoma Livingstone
Lusinde maarufu kama Kibajaji wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo kulia
ni Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini (CCM) Marry Chatanda na kushoto ni
Mgombea Udiwani wa CCM Mustapha Shengwatu
Katibu
wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Mkoa wa Tanga Allan Kingazi kushoto akiteta
jambo na Mbunge wa Jimbo la Mtera Mkoani Dodoma (CCM) Livingstone
Lusinde maarufu kama Kibajaji wakati wa uzinduzi huo katikati
anayeshughudia ni Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini (CCM) Marry Chatanda
(Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)
Mbunge
wa Jimbo la Mtera Mkoani Dodoma (CCM) Livingstone Lusinde maarufu kama
Kibajaji akisalimiana na makada wa CCM mara baada ya kuwasili kwenye
uwanja wa Sabasaba sokoni wakati wa uzinduzi huo kampeni za mgombea
Udiwani kupitia chama hicho kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga,Allan
Kingazi
|
Mbunge
wa Jimbo la Mtera Mkoani Dodoma (CCM) Livingstone Lusinde maarufu kama
Kibajaji katikati akiwa na viongozi mbalimbali wa CCM Mkoa wa Tanga
kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga,Allan Kingazi kulia ni Katibu wa
CCM Korogwe Mjini,Ally Issa Ally na Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini
(CCM) Stephen Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu wakiingia uwanja
wa Sabasaba sokoni tayari kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za mgombea
udiwani wa CCM Kata ya Majengo.
|
Mbunge
wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stephen Ngonyani alimaarufu Proffesa
Maji Marefu kushoto akifuatilia kwa umakini hotuba ya Mbunge wa Jimbo
la Mtera (CCM) Livingstone Lusinde alimaarufu Kibajaji wakati wa
uzinduzi wa kampeni za Udiwani Kata ya Majengo Halmashauri ya Korogwe
Mjini huku akiwa na viongozi mbalimbali wa CCM
Sehemu ya umati wa wananchi wakifuatilia kampeni hizo
0 comments:
Post a Comment