Msafara
wa Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, ukichanja mbuga kutokea jijini
Tanga kuelekea jijini Dar es salaam mapema leo asubuhi.
Sehemu
ya wananchi wa Mji wa Muheza Mkoani Tanga, wakiwa wamefunga barabara,
wakimtaka Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, azungumze nao leo
Septemba 29, 2015, wakati akiwa safarini kwa kuelekea jijini Dar es
salaam kwa njia ya barabara akitokea Mkoani Tanga.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Muheza
Mkoani Tanga, waliofunga barabara ili azungumze nao leo Septemba 29,
2015, wakati akiwa safarini kwa kuelekea Dar es salaam kwa njia ya
barabara akitokea Mkoani Tanga.PICHA NA OTHMAN MICHUZI.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi Mgombea Ubunge wa
Jimbo la Muheza wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA).
Umati wa wakazi wa mji wa Muheza.
Ilikuwa ni furaha kwa kila aliemuona Mh. Lowassa alipokuwa akizungumza nao.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwapungia wananchi wa Mji wa Muheza
Mkoani Tanga, mara baada ya kuzungumza nao, wakati akiwa safarini kwa
kuelekea Dar es salaam kwa njia ya barabara akitokea Mkoani Tanga.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwasili kwenye Uwanja wa Chuo cha
Walimu Korogwe, Mkoani Tanga kulikofanyika Mkutano wa Kampeni zake leo
Septemba 29, 2015.
Waziri
Mkuu wa zamani, Mh. Fredrick Sumaye akiwahutubia wananchi wa Mji wa
Korogwe, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Chuo
cha Walimu Korogwe, Mkoani Tanga leo Septemba 29, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Korogwe,
Mkoani Tanga, wakati wa Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa
Chuo cha Walimu Korogwe, Mkoani Tanga leo Septemba 29, 2015.
0 comments:
Post a Comment