Home » » TUKIO KATIKA PICHA: NYUMBA ZA JESHI LA POLISI ZA TEKETEA KWA MOTO TANGA

TUKIO KATIKA PICHA: NYUMBA ZA JESHI LA POLISI ZA TEKETEA KWA MOTO TANGA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 


Jana mchana nyumba za Askari wa jeshi la polisi zilizopo eneo la chumbageni nyuma ya kituo cha polisi kikuu cha chumbani jijini Tanga zaungua moto.






Mkuu wa wilaya ya Tanga Mh.Halima Dendegu akiwasili katika eneo la ajali.
Mh.Halima Dendegu akishuhudia ajali ya moto katika nyumba za polisi chumbageni,jijini Tanga hapo jana 
Wananchi wakishuhudia na kusaidia vikosi vya zimamoto katika uzimaji moto huo.
Baadhi ya vitu vilivyookolewa katika ajali ya moto.
 
Picha kwa hisani ya Tanga kunani(TK)

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Tanga Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa