BENKI ya National
Micro- Finance(NMB) imetoamafunzo yawiki mbili kwavyamav ya ushirikavya
wakulimawampun gawilayani Korogwe, ma funzoya liyolengakuwaongezea uwezowa
namnawatakavyoweza ku viendesha vyamahi vyokatika dha nanzimayakuondo auma
skinik wawa nacham a wao.
Mafunzo hayo ambayo yalikuwa yakitolewana mkufun zi
wama funzo hayo, Alfre dC honyayalian zatanguAgosti 17, mw ak ahuun aku fungwaSeptemba3naM
kuu w awilaya yaKor ogwe, Mrish oMashaka Ga mboyaliyof anyikam ji
mdogowaMombowilay aniKor ogwe.
A kizungu mzakat ikamafunzo hayo,Ga mboalise
maniush ahidi ulioku wawaz i kwaBe nki yaNMBambayo imek uwaiki fadhili m iradi
mbalimbalikati kawilayahiyokilainapoom bwahivyomafunzowan ayotoakwa wana
ushirika yatasa idia kuongeza uelew awa namnayak uendeshav yamahi vyovyau
shirika kutokana nakwamba mar anyingiv imekuwavik ikabiliwanamatat izolukuki.
" Kaziya kutoaelimu ilikuwa itolewe naSe
rikaliku pitiamaofisaushi rikawaliop o,lakini wenze tuwaNMBkwakujali namnaya
kus hirikia na na watejawaowam eonanivyemaw akatoamafu nzohaya k wa niaba y
aSerikali tunawapongez ana tu nawaombamuwe na moyoh uow akuwasaidia watejawenu
," alisema .
Alis emalengola Serikali kuanzishaush irikaliliku
wa kuwakomb oawaku limanawana us hirika mbalimbalih ivyosualalaNMBkutoa mafunz
ohayo kutakuw aniukom bozim kubwaingawaa lis emamara nyingi mafunzohuw ayanat
olewakwa viongozi waus hirikaakaon eshahajayawaka ti mw ingineni vye ma wan ach
amanaowakafa idikanamafunzoy anamna hiyo.
Gambo al isemaSerikali ina nia njemaya ku
wasaidiawajasiriamali wadog oiliwaweze kujikwamuakiuchuminasual alab enkiya
NMBkusaidia v iku ndih iv ikatik aw ilaya yetu nijambolafaraja kubwa kwasab abu
lita wa fanyaw awezekuendes havikundi vy aokwautaalamuna umahiriwakuf unga ma
hesabuna kukopa kwa makini namarejes hoyake.
Awalimkuf unziwamafunzohayo Ch onyaamb aye alisema
mafu nzoha yo wameya toakupitia idarampy ayaN MB yaMa endeleoyaKilimo(NFAD)'FoundationFor
Ag ricultur al Develo pment', alise mavikundim balimbal i walivyowapamafunzo
waliwezakuwafundisha waj ibuwa bod i zamik opo ,wajibuwakat ibuaumen ejawas
acco's, Misingiy aUta wa la Bora , Si fa yakiongoz ib oranawajibunahaki
kwawanachama.
"T umeweza kuwapa mafunzo haya katika ngazimba
limb ali kwamfanounapos emasifayakiongozi boraniipinilazima awe mkwelidaim a,
hu on gozakwakuonesh an jianapiaaweana fuata misingiya uta wa la bo ra k
wakuwamwaminifukwawenza kenayale anayoyafany a," a lisemaCh on ya.
Meneja waN MBTawilaKorogwe,E rast oMwam alumb ili,
alisema benki hiyo imeanzisha idara hiyo mpya kwa lengo la kuwafuata wananchi
kule walipo hasa katika maeneo ya vijijini kwa ajili ya kuwajengea uwezo wa
kukopesheka kwa ajili ya kuongeza mitaji yao ya kilimo na vyama vyao vya
ushirika.
Alisema baada ya mafunzo hayo ya awamu ya kwanza
wanataraji watatoa tena mafunzo ya awamu ya pili ili waweze kuwasaidia wakulima
na vyama vya ushirika vilivyopo katika wilaya hiyo ya Korogwe.
Akitoa shukurani zake Mbunge wa jimbo la Korogwe Vijijini, Stephen
Ngonyani 'almaarufu Profesa Majimarefu',
alishukuru benki hiyo akieleza kwamba imekuwa mkombozi mkubwa kwa wananchi hasa
waliokuwa vijijini na kwamba atakuwa balozi wao bungeni kwa kuishawishi
Serikali itazame kwa jicho la pekee kwa vile imekuwa ikiwasaidia mno wakulima
na wananchi kwa ujumla wenye kipato cha chini..
Chanzo: Majira
0 comments:
Post a Comment