Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Katbu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza alipoalikuwa kuzungumza wakati wa mkutano huo.
Wananchi wakiwa kwenye mkutano huo
Rais
Dk John Magufuli na viongozi wengine wa meza kuu akiwemo Katibu Mkuu wa
CCM Abdulrahman Kinana wakifurahia jambo wakati wa mkutano huo
mamia ya watu wakiwa wamefurika kwenye mkutano huo.
Kinana
akifuatana na viongozi wa CCm mkoa wa Tanga kumsikiliza Rais Nagufuli
alipozungumza na wananchi waliosimamisha msafara wake katika eneo la
Pongwe
Kinana na baadhi ya viongozi wa CCM wakimsikiliza Rais Magufuli katika eneo la Pongwe
Rais akizungumza na wananchi katika eneo la Pongwe PICHA ZAIDI/>
0 comments:
Post a Comment