Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknologia, Mhandisi Stella Manyanya wa pili kutoka kulia akitembelea
shule ya Msingi Bagamoyo wakati wa ziara yake wilayani Korogwe kushoto
ni Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Mhandisi Robert Gabriel na anayefuatia ni
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini (CCM) Marry Chatanda
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknologia, Mhandisi Stella Manyanya akiwasili katika shule ya Msingi
Matondoo wakati ewa ziara yake ya kukagua maendeleo ya sekta hiyo
wilayani Korogwe
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknologia, Mhandisi Stella Manyanya akisalimiana na walimu wa shule ya msingi Matondoo wa kwanza kulia ni Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Mhandisi Robert Gabriel |
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknologia, Mhandisi Stella Manyanya akiwa ameshika mtoto wakati wa
ziara yake kulia ni Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Mhandisi Robert Gabriel
kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe,Jumanne
Shauri
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknologia, Mhandisi Stella Manyanya akizungumza na wanafunzi wa shule
ya msingi Bagamoyo iliyopo wilayani Korogwe ambapo aliwataka kusoma kwa
bidii ili waweze kupata mafanikio
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji
wa Korogwe,Jumanne Shauri akizungumza na wanafunzi wa shule ya msingi
Matondoo wakati wa ziara hiyo ambapo aliwataka kutilia mkazo masomo ya
sayansi
Mbunge wa Jimbo la Korogwe
Mjini (CCM) Marry Chatanda akisalimia na wananchi wa Jimbo lake wakati
wa ziara hiyo ya
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknologia, Mhandisi
Stella Manyanya
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji
wa Korogwe ,Jumanne Shauri akizungumza katika ziara ya Naibu Waziri wa
Elimu, Sayansi na Teknologia, Mhandisi Stella Manyanyawa tatu kutoka
kulia
Mkuu wa wilaya ya
Korogwe,Mhandisi Robert Gabriel akizungumza katika halfa hiyo
Mbunge wa
Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stephen Ngonyani alimaarufu Proffesa
Maji Marefu akimuonyesha kitu Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknologia, Mhandisi Stella Manyanya
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini
(CCM) Marry Chatanda akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mkakati
waliojiwekea kuhakikisha wanapiga hatu kubwa kielimu
Baadhi ya wanafunzi
wakimsikiliza Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknologia, Mhandisi
Stella Manyanya ambaye hayupo pichani
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknologia, Mhandisi Stella Manyanya katika akisisitiza jambo kwa Mkuu
wa wilaya ya Korogwe, Mhandisi Robert Gabriel kushoto wakati wa ziara
yake alipotembelea kukagua maendeleo ya ujenzi wa maktaba ya wilaya hiyo
ambao umeshindwa kuendea kwa muda mrefu ambapo aliagiza uendelezwe
kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Mji Jumanne Shauri na
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini (CCM) Marry Chatanda,Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini (CCM) Marry Chatanda,Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknologia, Mhandisi Stella Manyanya akiwa kwenye picha ya pamoja na walimu wa shule ya msingi matondoo |
0 comments:
Post a Comment