Home » » WAZIRI JANUARY MAKAMBA ATEMBELEA ENEO LITAKALOJENGWA UKUTA WA MTO PANGANI ULIOATHIRIKA NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI

WAZIRI JANUARY MAKAMBA ATEMBELEA ENEO LITAKALOJENGWA UKUTA WA MTO PANGANI ULIOATHIRIKA NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI

WAZIRI JANUARY MAKAMBA ATEMBELEA ENEO LITAKALOJENGWA UKUTA WA MTO PANGANI ULIOATHIRIKA NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba kushoto akimsikiliza kwa umakini Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)Jumaa Aweso wakati alipofanya ziara wilaya ya Pangani kuangalia maeneo kutakapojengwa ukuta wa mto Pangani na Upandaji wa Miti ya Mikoko

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba akisisitiza jambo kwa watendaji wa halmashauri ya wilaya ya Pangani kuhusu kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa ili kuweza kusaidia ukuaji wa uchumi kulia ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)Jumaa Aweso kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Pangani,Zainabu Issa

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba akisisitiza jambo kwa watendaji wa halmashauri ya wilaya ya Pangani kuhusu kufanya kazi kushoto kwake ni Mbunge wa Jimbo la Pangani(CCM) Jumaa Aweso kulia ni Mkuu wa wilaya ya Pangani,Zainabu Issa
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba akisisitiza jambo kwa watendaji wa halmashauri ya wilaya ya Pangani kuhusu kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa kulia kwake ni Mkuu wa wilaya ya Pangani,Zainabu Issa

 Mkurugenzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Richard Mayungi akisisitiza jambo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba kuhusu hatua wanazochukua kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi kwenye maeneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo Mto Pangani
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba katikati akitazama namna mto Pangani ulivyoliwa kutokana na mabadiliko ya Tabia ya nchi wakati alipofanya ziara ya kuutembelea leo kushoto kwake ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)Jumaa Aweso kulia ni Afisa Misitu na Kiungo wa Mradi huo wilayani Pangani Twahiru Mkongo
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba katikati akitazama namna mto Pangani ulivyoliwa kutokana na mabadiliko ya Tabia ya nchi wakati alipofanya ziara ya kuutembelea leo kushoto kwake ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)Jumaa Aweso kulia ni Afisa Misitu na Kiungo wa Mradi huo wilayani Pangani Twahiru Mkongo
 Afisa Misitu na Kiungo wa Mradi huo wilayani Pangani Twahiru Mkongo akimuonyesha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba katikati maeneo mbalimbali yaliyoathirika na mabadiliko ya tabia ya nchi kushoto kwake ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)Jumaa Aweso kulia ni

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba  wa pili kutoka kushoto akitembelea maeneo mbalimbali yaliyoathirika na mabadiliko ya tabia ya nchi kwenye katika Pangani kushoto  ni  Afisa Misitu na Kiungo wa Mradi huo wilayani Pangani Twahiru Mkongo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba wa pili kutoka kushoto akiangalia maeneo mbalimbali yaliyoathirika na mabadiliko ya tabia ya nchi


 Hili ni miongoni mwa maeneo ya ukuta wa mto Pangani yaliyo athiriwa na mabadiliko ya tabia ya nchi
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba akitembelea maeneo mbalimbali kujionea athari za mabadiliko ya tabia ya nchi
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba akisisitiza jambo mara baada ya kutembelea kujionea namna ukuta wa mto Pangani ulivyoliwa kutokana na mabadiliko ya nchi


 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba katikati akiangalia taarifa ya mradi wa Ujenzi wa Ukuta wa Mto Pangani mara baada ya kuutembelea leo



Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba kushoto akiwa amekaa kwenye jahazi mara wakati alipofanya ziara ya kutembelea wilayani Pangani na Ukata wa Mto Pangani ambao umeliwa na maji kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi


 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba kushoto akisisitiza jambo Waziri Amiri ambao walikutwa wakiendelea na shughuli zao pembezoni mwa mto Pangani



 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba wa tatu kutoka kushoto akimsikiliza kwa umakini Diwani wa Kata ya Pangani Mashariki Akida Boramimi 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba kushoto akisisitiza jambo kwa Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)Jumaa Aweso wakati wa ziara hiyo katikati ni  Mkurugenzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Richard Mayungi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya ziara yake hiyo leo hii

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Tanga Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa