|
Mkuu
wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella akifungua kikao cha pili cha bodi ya
barabara kilichofanyika leo kwenye ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa
Tanga |
|
Mkuu
wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella wa pili kutoka kulia akifuatilia
makabrasha ya kikao cha bodi ya barabara leo kushoto ni Katibu Tawala wa
Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi,kulia ni Mbunge wa Jimbo la
Mlalo(CCM)Rashid Shangazi,Mbunge wa Jimbo la Muheza (CCM)Adadi Rajabu |
|
Meneja
wa Wakala wa Barabara nchini Tanroad Mkoani Tanga,Mhandisi Alfred
Ndumbaro akiwasilisha taarifa ya mpango wa barabara kwenye kikao hicho |
Mkuu wa wilaya ya Handeni,Godwin
Gondwe kushoto akibadilishana mawazo na Mbunge wa Jimbo la Handeni,Omari
Kigoda kabla ya kuanza kikao cha pili cha bodi ya barabara
|
Mbunge
wa Korogwe Vijijini (CCM) kulia akiteta jambo na Mhandisi wa Ujenzi wa
Halmashauri ya Korogwe,Daudi Gao kabla ya kuanza kikao cha bodi ya
barabara picha ya kwanza ni Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini (CCM)Marry
Chatanda akiteta jambo na Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso |
Mbunge wa Jimbo la Korogwe
Vijijini (CCM)Stephen Ngonyani alimaarufu Maji Marefu kulia akiteta
jambo wakati wa kikao hicho kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini
(CCM),Marry Chatanda
|
Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)Jumaa Aweso akiteta jambo na Mkuu wa wilaya hiyo,Zainabu Issa wakati wa kikao hicho |
Meneja wa Wakala wa Barabara
nchini Tanroad Mkoani Tanga,Mhandisi Alfred Ndumbaro akifuatilia kwa
umakini jambo katika kikao cha bodi ya barabara leo
|
Mbunge
wa Jimbo la Handeni Mjini,(CCM)Omari Kigoda kushoto akiteta jambo na
Mkuu wa wilaya ya Handeni,Godwin Gondwe wakati wa kikao cha pili cha
bodi ya barabara |
|
wa
kwanza kulia ni Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini,(CCM)Stephen
Ngonyani alimaarufu Maji Marefu akipitia maelezo ya makabrasha ya kikao
cha bodi ya barabara aliyesimama kulia ni Mbunge wa Jimbo la Lushoto
(CCM),Shabani Shekilindi kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Korogwe
mji(CCM)Marry Chatanda na anayefuata ni Mbunge wa Jimbo la Mkinga
(CCM)Dastan Kitandula |
|
Wajumbe
wa Kikao cha Pili cha Bodi ya Barabara kulia ni Mkuu wa wilaya ya
Tanga,Thobias Mwilapwa,Mkuu wa wilaya ya Pangani,Zainabu Abdalla Issa na
Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso |
|
Mbunge
wa Jimbo la Tanga (CUF) Mussa Mbaruku katikati akisikiliza kwa umakini
hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella wakati akifungua kikao
cha pili cha bodi ya barabara |
|
Mbunge wa Jimbo la Kilindi (CCM) Omari Kigua akipitia maelezo kwenye kabrasha kabla ya kuanza kikao cha bodi ya barabara |
Mkuu wa wilaya ya Muheza,Mhandisi Mwanasha Tumbo kulia kushoto ni Mkuu
wa wilaya ya Kilindi wakifuatilia kwa umakini kikao cha bodi ya pili cha
barabara leo,Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
0 comments:
Post a Comment