|
WAZIRI
wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano,Proffesa Makame Mbarawa akisisitiza
jambo kwa Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Karim
Mattaka wakati alipofanya ziara ya kuzindua gati mpya wilaya ya Pangani
Mkoani Tanga katikati ni Meneja wa Tanroad Mkoani Tanga,Mhandisi Alfred
Ndumbaro |
Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na
Mawasiliano,Proffesa Makame Mbarawa akizundua gati jipya la Bandari ya
Pangani ambalo liligharimu zaidi ya bilioni 3 kulia ni Katibu Mkuu wa
Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano wa mwisho kulia ni Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari nchini (TPA)Karim Mattaka kushoto
ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella
Kulia ni Waziri wa
Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano,Proffessa Makame Mbarawa akiteta jambo na
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)Karim Mattaka
wapili kutoka kulia wakati wa uzinduzi wa gati jipya wilayani Pangani
katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella kulia ni Kaimu Meneja
wa Bandari ya Tanga,Henry Arika akifuatilia mazungumzo
hayo
|
Viongozi waliokaa meza mkuu wakifuatilia
matukio yaliyokuwa yakiendelea wakati wa uzinduzi wa Gati Jipya
wilayani Pangani |
Katibu
Tawala wa Mkoa wa Tanga (RAS) Mhandisi Zena Saidi na Mbunge wa Jimbo la
Pangani (CCM),Jumaa Aweso wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa Gati jipya
wilayani Pangani
Viongozi mbalimbali wa
Halmashauri ya wilaya ya Pangani na mkoaani Tanga wakifuatilia
uzinduzi wa Gati jipya
|
Baadhi
ya watumishi wa Mamlaka ya Bandari Mkoani Tanga wakifuatiliaa uzinduzi
huo kutoka kulia ni PRO wa Mamlaka hiyo,Moni Jarufu kushoto ni
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga,Daudi Mayeji |
|
Baadhi ya Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya
ya Pangani wakifuatilia uzinduzi wa Gati hiyo |
Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na
Mawasiliano,Proffessa Makame Mbarawa akisalimiana na wananchi wilayani
Pangani mara baada ya kuzindua gati jipya
Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na
Mawasiliano,Proffessa Makame Mbarawa akiwa na viongozi mbalimbali
akisoma maelekezo yaliyoandikiwa kwenye jiwe la msingi mara baada ya
kufanya kuzindua gati jipya la Bandari wilayani Pangani kushoto ni
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Karim Mattaka
kulia ni Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga,Henry Arika,Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Martine Shigella na PRO wa Mamlaka ya Bandari ya Tanga,Moni
Jarufu.
0 comments:
Post a Comment