Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi kwa wananchi katika Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga leo wakati wa mkutano wa kampeni za CCM.
Akishinda urais Dk Magufuli amehidi kujenga barabara ya lami kutoka Soni hadi Bumbuli yenye umbali kwa Km 22. Pia ameahidhi kuharakisha mchakato wa kukikabidhi kiwanda cha chai cha Mponde kwa wananchi na kuanza kuzalisha.
Pia ameahidi kuboresha hali za wanajeshi, walimu na wafanyakazi nchini
Dk Magufuli ambaye kampeni zake huzifanya kwa magar, tayari hadi sasa kafanya katika mikoa ya Katavi, Rukwa, Mbeya, Njombe, Ruvuma, Mtwara, Morogoro na Tanga na kesho anaanza kampeni katika Mkoa wa Mara.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Sehemu ya umati wa wananchi ulifurika kwenye mkutano huo wa kampeni katika Jimbo la Bumbuli
Mtoto akiimba kwa ufasaha wimbo wa kuhimiza watu kwenda kupiga kura Oktoba 25, mwaka huu na kumpigia kura Dk Magufuli ili ashinde urais.
Dk Magufuli akiwa amembeba mtoto huyo baada ya kufurahishwa na uimbaji wake katika mkutano wa kampeni Kata ya Malamba, Wilaya ya Nkinga leo
Mmoja wa wazee wa Kata ya Malamba akiwa na furaha baada ya kufurahishwa na hotuba ya Dk Magufuli.
Wakiwa na furaha ni Dk Magufuli ( katikati), Mgombea ubunge Jimbo la Bumbuli, Januari Makamba na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, Shekifu walipokuwa wakiangalia kikundi cha uchekeshaji cha The Comedy Orijino wakati wa mkutano
Msanii Joti wa kikundi cha uchekeshaji cha The Comedy Orijino akimchukua Dk Magufuli ili ajumuike nao kucheza muziki wakati wa kampeni hizo.
Dk Magufuli akijumika kucheza muziki na wasanii wa kikundi cha The Comedy Orijino
Baadhi ya wazee wa Kata ya Malamba, mkoani Tanga, wakiwa na picha za Dk Magufuli
Dk Magufuli akimnadi mgombea ubunge Jimbo la Nkinga
Baadhi ya vijana wakishangilia baada Dk, Magufuli kutoa ahadi kuwa akishinda Serikali yake itakuwa inatoa kwa kila kijiji sh. mil 50 kwa wazee na vijana kwa ajili ya mikopo ya kuanzishia miradi ili wajikimu kimaisha.
Wananchi wakishangilia baada ya kufurahishwa na hotuba ya Dk Magufuli katika Kijiji cha Mashewa
Dk Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani 'Profesa Maji Marefu"
Akimpunia mkono mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk Magufuli.
Mfuasi wa CCM akishangilia kwa furaha baada Mgombea urais, Dk Magufuli kuahidi kwamba akishinda wataanzisha utaratibu wa kuwakopesha wanawake na Vijana kwa kila kijiji kupatiwa shmil 50. Mkutano huo wa kampeni umefanyika katiuka Kata ya Matalawanda.
Dk Magufuli akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi, mgombea ubunge Jimbo la Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani
Wafuasi wa CCM wakiwa wameshikilia bango hilo katika mkutano wa kampeni mjini Korogwe
Katibu Mkuu msitaafu, Yusufu Makamba akielezea sifa lukuki alizonazo Dk Magufuli tofauti na mgombea kupitia Umoja wa Katiba ya wananchi
Dk Magufuli akiteta jambo na January Makamba
Wasani wa The Comedy wakilishambulia jukwa wakati wa mkutano huo
Mwakilishi wa watu wenye ulemavu Amon Mpanju akielezea jinsi CCM inavyo wajali watu wa namba hiyo wakati wa mkutano mjini Lushoto leo
Dk Magufuli akimtambulisha kwa wananchi Mgombea ubunge Jimbo la Bumbuli, January Makamba
Wagombea udiwani Jimbo la Bumbuli wakitambuliwa kwa wananchi katika kkiutano huo
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, Henry Shekifu akimnanga Frederick Sumaye kwa ni fisadi zaidi ya Lowassa.
Mbunge wa zamani wa Jimbo la Mlalo, Hassan Ngwilizi akimpigia chapuo Dk Magufuli katika mkutano huo.
Mjumbe wa Kamati ya kaampeni ya CCM, Ummy Mwalimu akimpigia debe Dk Magufuli wakati wa mkutano huo
Dk Magufuli akijinadi mjini Lushoto

Dk magufuli akijinadi kwa wananchi katika mji wa Mombo

0 comments:
Post a Comment