Basi
la Ngorika lililokuwa kitoka jijini Dar es Salaam kwenda Arusha na lile
la Kampuni ya RATCO Tanga kwenda Dar es Salaam yamegongana uso kwa huso
na kulihusisha gari lingine dogo aina ya Noah na kusababisha vifo vya
abiria na majeruhi.Ajali hiyo ilitokea eneo la Mbweni Mkata mkoni
Tanga.
Wakati
huo huo habari kutoka Morogoro zinaarifu kuwa Basi mali ya kampuni ya
Happy Nation lililokuwa likitokea jijini Dar es Salaam kwenda Mbeya
limepata ajali eneo la Kikwaraza Mikumi na kuuwa watu wawili na
kusababisha majeraha kwa abiria wengine 48.
Basi la Ngorika likiwa limeharibika vibaya.
Gari dogo aina ya Noah lililohusika katika ajali ya Tanga na abiria wake wote waliokuwa wa fami;lia moja kuripotiwa kufa.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment