Kwa mara ya kwanza na Siku zijazo tunawaletea Kipengele kipya kabisa Kinachoitwa UJUMBE WA JK ambapo Mheshimiwa Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete atakuwa na Ujumbe katika mambo mbalimbali usikose, Leo Mh. Rais anazungumzia Juhudi za Kukabiliana na Uhaba wa Vitabu Tanzania, Ungana nasi kutazama Video hii.
Home »
» VIDEO: MPYA, UJUMBE WA JK- JUHUDI ZA KUKABILIANA NA UHABA WA VITABU TANZANIA
0 comments:
Post a Comment