Kwa Taarifa ambazo Bado Hazijathibitishwa Rasmi zinasema kwamba kuna Shehena kubwa ya Milipuko ya hatari inayotumika kutengenezea Mabomu ya Kuvulia samaki kwa kuwa inaweza ikahimili hata ndani ya maji na Kwa ajili ya Kutengenezea Milipuko ya kupasulia Miamba Migumu Imekamatwa Eneo la Korogwe Mchana Huu Wakati wa Jeshi la Polisi walipokamata Basi la KLM EXP lenye usajili wa namba T491 ARB kwa ajili ya Ukaguzi. Milipuko hiyo ambayo imesafirishwa kwa njia ambayo sio sahihi kutokana na hatari yake ya kuwa kulikuwa na abiria na kama Basi Lingetingishika zaidi Ingeweza Kulipuka .
Taarifa zaidi itakuja hapa.. fuatilia
Baada ya kukamatwa
Basi Hilo baada ya Kukamatwa
Milipuko hiyo baada ya kukamatwa mchana huu
Askari wa Jeshi la Polisi Katika Kituo cha Korogwe akikagua Milipuko hiyo
Ufahamu hapa Mlipuko huo
Ufahamu hapa Mlipuko huo
0 comments:
Post a Comment