Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakinunua samaki
katika kibanda huko Bweni Wilaya ya Pangani juzi wakati Rais alipokwenda
kuzindua mradi wa maji na kuweka jiwe la msingi kwaajili ya ujenzi wa
maabara shuke ya sekondari Kipumbwi. Picha na Freddy Maro
0 comments:
Post a Comment