Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
KURUTHUMU RAMADHANI MWENGELE (48) namba yake ya
ushiriki ni MS27, ni mkazi wa Korogwe Tanga na ni mkulima na mfugaji analima
ekari 6 na anafuga kuku 6, mbuzi 6 na bata 4.
ANADHANI YEYE NI MFANO WA KUIGWA: Kwa sababu
anashirikiana na wenzakekupeana mawazo kwa ajili ya ufugaji bora na kilimo cha
kisasa. "Kwa mwaka ninavuna hoho 8,000 na tango
7,000" anasema
MAISHA PLUS/MAMA SHUJAA WA CHAKULA
0 comments:
Post a Comment