Wa kwanza kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri Beatrice Mdomisi , wa katikati ni Mbunge wa Bumbuli January Makamba , na wa kwanza kutoka upande wa kushoto ni Afisa utumishi wa Halmashauri ya Bumbuli Kervin Lefi.
Dhumuni la kikao cha madiwani hao ilikuwa ni kuzungumzia maendeleo ya halmashauri mpya ya Bumbuli , kuanzisha Hospitali, Miradi ya maji ya Mgawishi na Mbelei pamoja na ujenzi wa barabara kutokea soni hadi Bumbuli.
Picha na Tabitha Hudson
Tanga yetu Blog
0 comments:
Post a Comment