Home » » NEWS UPDATE: MAJERUHI WALIOPATA AJALI KWENYE BASI LA BURUDANI WAPELEKWA HOSPITALINI KOROGWE KWA MATIBABU ZAIDI

NEWS UPDATE: MAJERUHI WALIOPATA AJALI KWENYE BASI LA BURUDANI WAPELEKWA HOSPITALINI KOROGWE KWA MATIBABU ZAIDI




Hospitali ya wilaya ya Korogwe.
Basi la Burudani leo limepata ajali maeneo ya Kabuku - Korogwe , watu 12 hadi sasa wamefariki na majeruhi zaidi ya 55. Watu 4 wamepelekwa MOI na KCMC. Tuwaombee majeruhi.
Majeruhi wakipatiwa matibabu.



Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo ( kushoto) akiangalia mmoja wa majeruhi akipatiwa matibabu.

Manesi wakiendelea na matibabu kwa majeruhi.
Mmoja wa majeruhi akiwa amelazwa kwenye benchi.
Wananchi wakiwa eneo la Hospitali.
PICHA ZOTE NA MKUU WA WILAYA YA KOLOGWE

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Tanga Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa