Home »
» MATUKIO YA PICHA LEO WAKATI WA MAZISHI YA KOCHA WA MAKIPA SIMBA JAMES KISAKA
MATUKIO YA PICHA LEO WAKATI WA MAZISHI YA KOCHA WA MAKIPA SIMBA JAMES KISAKA
 |
NDUGU WA MAREHEMU
JAMES KISAKA WAKILIA KWA UCHUNGU LEO WAKATI MWILI WA NDUGU YAO
UKISHUSHWA NYUMBANI KWAO LUSANGA LEO TAYARI KWA MAZIKO AMBAYO
YALIFANYIKA KATIKA MAKABURI YA FAMILI KIJIJI HUMO. |
 |
MMOJA WA NDUGU WA JAMES KISAKA AKILIA KWA UCHUNGU WAKATI MWILI WA NDUGU YAO ULIPOWASILI LEO |
 |
MDOGO WAKE JAMES
KISAKA,BENNY KISAKA AKIUAGA MWILI WA MAREHEMU KAKA YAKE,KABLA YA
KUPUMZISHWA KATIKA MAKABURI YA FAMILI WILAYANI MUHEZA MKOANI TANGA LEO |
chanzo;Tangaraha blog
0 comments:
Post a Comment