Home » » DAR EXPRESS LAPINDUKA DEREVA NA KONDA WANUSURIKA KIFO, IMETOKEA MAENEO YA KIJIJI CHA MANGA MKOANI TANGA

DAR EXPRESS LAPINDUKA DEREVA NA KONDA WANUSURIKA KIFO, IMETOKEA MAENEO YA KIJIJI CHA MANGA MKOANI TANGA



 BASI lenye namba ya usajili T848 ASZ 
lilipinduka baada ya kuacha 
barabara na kuingia vichakani 
wakati lilipokuwa likivutwa 
baada ya kuharibika, 
Ajali hii ilitokea katika kijiji 
chaManga Mkoani Tanga 
barabara ya kutoka Dar
 kuelekea Tanga, Inasemekana
 halikuwa na abiria yeyote ni
 Dereva na Konda tu ndio 
waliyonusurika kifo katika ajali hiyo




0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Tanga Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa