Mwanamziki Flora Mbasha pichani akiwa na mumewe siku ya jana katika kiwanja cha Tangamano kilichopo mkoa wa Tanga wakiwapa mashabiki wao neno la bwana. Nimtoka kuongea na Flora akaniambia wanamshukuru mungu kwani umati unaokuja kwenye show zake ni mkubwa sana na jioni ya leo watakuwa hapo hapo viwanja vya Tangamano na bado wako Tanga mpaka tarehe 1 mwezi wa 12.
PICHA ZOTE KWA HISANI YA DJ CHOKA
0 comments:
Post a Comment