Hellow marafiki haswa mnaoishi Tanga huyu nii mume wa mama mdogo na rafiki yangu wa karibu.
Huyu jama ametoweka na anashtumiwa kwa kosa la kumnyonga aliyekuwa mkewe kwa sababu ya mapenzi.
Mwili wa marehemu umekutwa store nyumbani kwa huyu bwana. Na inasemekana ameonekana Tanga leo mchana.
Jina la huyu jamaa ni: Yahaya Ramadhani Gombe
Kabila: Mzigua
Makazi: Mbagala DSM,
RB Number: MBL/ RB/11742/12.MAUWAJI
Tafadhali ukimuona toa taarifa katika kituo cha police.
0 comments:
Post a Comment