Home » » INSPEKTA WA JESHI LA POLISI KATIKA KITUO CHA POLISI WILAYA YA KILINDI APIGWA RISASI MKOANI TANGA.

INSPEKTA WA JESHI LA POLISI KATIKA KITUO CHA POLISI WILAYA YA KILINDI APIGWA RISASI MKOANI TANGA.

 
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhMUoFk79xJATCZAfYMr7nhBgGfJMdtprfGykwcdcXInYpxETpt8ITOll5PsNO25-5LmWyUUCDtKxfiRLvT2HnSTdXGXSs-LelfbT0k6axG9C5PhQXGOKUWSqjFeJ_8HekP1obyDvJswDA/s1600/IGPmwema...jpg 
IGP SAID MWEMA.

Mkuu wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Kilindi Mkoani Tanga Inspekta Nsekelo amejeruhiwa vibaya kwa kupigwa risasi na kundi la watu wasiojulikana waliokuwa wanafanya maz
oezi ya kijeshi katika vijiji vya Lolagana na Mwambe baada ya kutokea mapambano baina ya kikundi hicho na polisi. Chanzo ITV

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Tanga Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa