Home » » KWA MPANGO HUU AJALI ZITAISHA LINI?

KWA MPANGO HUU AJALI ZITAISHA LINI?



Hello Guyz! Am glad to share with u that kind of usafiri huku vijijini kwetu. Picha hizo nilizipiga jana katika moja ya barabara iendayo Korogwe vijijini.Basi hilo lililopakia abiria wengi mpaka wengine kuwekwa katika keria ambapo kwa kawaida sehemu hiyo huwekwa mizigo jambo ambalo ni hatari kwa usalama wao, lilikuwa likitokea Korogwe Mjini kuelekea  Kata ya Magamba kwalukonge (Korogwe vijijini) Umbali wa takribani Km 109 kutoka Korogwe Mjini. 

 By Mng'anzagala Galinoma - Korogwe Tanga.

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Tanga Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa