Watangazaji wa Clouds Fm Adam Mchomvu na Loveness Love a.k.a Diva Mimi wakirusha matangazo 'Live' ndani ya jiji la Tanga. Fiesta ndiyo hiyo imeanza kubamba na itafanyika tarehe 26.8.2012 uwanja wa Mkwakwani kwa kiingilio cha Buku tano tu.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
0 comments:
Post a Comment