Mkuu
wa Mkoa wa Tanga, Mh. Martine Shigela akizungumza na watumishi na
wananchi wa Komkonga juu ya utunzaji wa vifaa hivyo na kupongeza uongozi
wa Halmashuri kwa ujenzi wa maabara ndogo.
Mkuu
wa Wilaya ya Handeni Mh.Godwin Gondwe aki shukuru Rais kwa fedha
alizozitoa na kufikia hatua ya kupokea Vifaa hivyo kwenye Zahanati ya
Komkonga.
Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Dk. Credeanus Mgimba akisoma taarifa ya vifaa vilivyonunuliwa.
Mwenyekiti
wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Mh. Ramadhani Diliwa akishukuru kwa
kuletewa vifaa vitakavyosaidia kuboresha huduma ya Afya kwa wananchi wa
Komkonga na kupunguza adha ya kufata hudduma hizo maeneo ya Mkata na
Handeni.
Baadhi ya Wananchi wa Komkonga waliofika kushuhudia makabidhiano.
Mkurugenzi
Mtendaji Bw. William Makufwe akisaidiana na mganga mkuu katikati na
mkuu wa Mkoa kutoa hadubini tayari kwa kuikabidhi kwa viongozi wa
Komkonga.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mh. Martine Shigela(kulia) akikabidhi hadubini
kwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Komkonga Bw.Omary Mngazija ikiwa ni moja ya
kifaa kwaajili ya kuboresha huduma za Zahanati ya Komkonga.
Mwenyekiti
wa Kijiji cha Komkonga Bw.Omary Mngazija akishangilia kupokea hadubini
ikiwa ni moja ya kifaa alichokabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mh.
Martine Shigella mwenye suti ya kijivu kwaajili ya kuboresha huduma za
Zahanati ya Komkonga.
0 comments:
Post a Comment