Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu
akiwasalimia wakazi wa Mji wa Pongwe mara baada ya kuwasilia na timu ya
Coastal Union ikitokea mkoani Morogoro ambapo iliweza kupanda daraja
baada ya kuifunga Mawenzi ya Morogoro mabao 2-0 kulia ni Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Martini Shigella
|
Mkuu
wa Mkoa wa Tanga,Martini Shigella kulia akizungumza wakati alipoipokea
timu ya Coastal Union mara baada ya kupanda daraja kucheza Ligi kuu
msimu ujao mapokezi hayo yalifanyika kwenye eneo la Pongwe Jijini Tanga
kushoto ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akizungumza katika mapokezi hayo
Wapenzi
wa soka mkoani Tanga pamoja na wananchi wakiwa wamezingira barabara ya
Tanga kwenye mikoani eneo la Pongwe wakiilaki timu ya Coastal Union leo.
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akizungumza katika mapokezi hayo akizungumza katikani ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martini Shigella
Mwenyekiti
wa timu ya Coastal Union,Steven Mguto katikati akimsikiliza kwa umakini
Mwenyekiti wa kamati ya usaji wa klabu hiyo Ahmed Aurora kushoto ni
Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu mkoani Tanga(TRFA) Saidi Soud
Mfungaji wa moja ya mabao yaliyoipandisha timu ya Coastal Union Athumani Iddi Chuji akizungumza kwenye mapokezi hayo leo (Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)
0 comments:
Post a Comment