Sehemu ya waandishi wa habari
mkoani Tanga wakiwa nyumbani kwa Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi mkoani
Tanga,Burhan Yakub ambaye alifiwa na mkewe wakati wa mazishi ambayo
yamefanyika leo Makaburi ya Magomeni Jijini Tanga
Sehemu ya waombolezaji
wakiwa msibani eneo la Magomeni Jijini Tanga
Waandishi wa habari kutoka vyombo
mbalimbali Jijini Tanga wakiwa msibani leo katikati mwenye tisheti ya
mistari ni Mwandishi Mwandamizi wa ITV na Radio One mkoani Tanga,William
Mngazija kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari mkoani
Tanga,Hassan Hashim
Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi
Mkoani Tanga,Burhan Yakub kushoto ambaye amefiwa na mkewe akiwa na ndugu
jamaa wakati wa msiba huo nyumbani kwake eneo la magomeni Jijini
Tanga.
Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Martini Shigella akiingia kwenye eneo la Msiba leo
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martini
Shigella katikati akiwa eneo la msibani Magomeni Jijini Tanga kulia ni
Katibu Itikadi na Uenezi CCM wilaya ya Tanga,Lupasio
Kapange
Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Martini Shigella kushoto akisalimiana na wananchi waliokuwepo
msibani mara baada ya kuwasili
Wananchi wakifukia mwili wa
aliyekuwa mke wa Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Mwananchi mkoani
Tanga,Burhan Yakub
Waziri wa Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu akisalimiana na Katibu wa CCM
mkoa wa Tanga,Allan Kingazi wakati wa mazishi hayo
Waziri wa Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu akisalimiana na Mstahiki Meya
wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi
wa Habari mkoani Tanga,Hassan Hashimn akiteta jambo na wandishi wa
habari mkoani Tanga wakati wa msiba huo(Habari kwa Hisani ya Blog ya
Kijamii ya Tanga Raha)
0 comments:
Post a Comment