Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mh. Godwin Gondwe na viongozi
wengine wakishiriki kujaza zege kwenye ndoo kwaajili ya kumwaga kwenye
jamvi la matundu ya vyoo.
Mkurugenzi Mtendaji Bw. William Makufwe akishiriki
kujaza zege kwa ajili ya kumwaga kwenye jamvi la matundu ya vyoo na
viongozi wengine.
Mkuu wa Wilaya na Viongozi wengine wakikagua moja ya darasa Shule ya Sekondari Kiva.
fundi mkuu wa ujenzi wa madarasa na vyoo akitoa maelezo kwa viongozi juu ya ujenzi wa matundu ya vyoo
Baadhi ya wafanyakazi wakiendelea kushiriki ujenzi wa matundu ya vyoo.
0 comments:
Post a Comment