Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Wachuuzi
wa Samaki wakiwa wanaelekea ndani ya Maji kwa ajili ya kununua Samaki
maharufu kma Uono ambao wanapendwa sana katika mji wa Tanga kwa ajili ya
kulia Ugali na kutafuna wakati wa chai asubuhi
Wachuuzi
wa Samaki wakiwania Samaki katika moja ya jahazi lililoingia na mzigo
kutoka katika kina kirefu mara baada ya kusubiri muda mrefu
Mchuuzi wa Samaki akingi katika maji kwa ajili ya kununua Samaki katika Majahazi yaliyofika katika ufukwe wa Sahare
Mchuuzi wa Samaki akingi katika maji kwa ajili ya kununua Samaki katika Majahazi yaliyofika katika ufukwe wa Sahare
Wavuvi wakiondoka kwenda kuvua mapema leo Asubuhi katika pwani ya Jiji La Tanga
Mchuuzi wa Samaki akingi katika maji kwa ajili ya kununua Samaki katika Majahazi yaliyofika katika ufukwe wa Sahare
Mkazi wa Jiji la Tanga akichagua Samaki kutoka wauzaji wa soko la Sahare jijini Tanga
0 comments:
Post a Comment