NHIF YATOA ELIMU KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MKINGA
Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima
ya Afya (NHIF) Ally Mwakababu akizungumza wakati wa kikao cha pamoja
baina yao na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Mkinga kuhusu umuhimu
wa kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ili waweze kunufaika na
huduma zitolewazo
Mkurugenzi wa Halmashauri ya
wilaya ya Mkinga,kushoto ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
(NHIF)Ally Mwakababu kulia ni Mratibu wa CHF wilaya ya Mkinga,Rashid
Gembe
Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima
ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu kushoto akifuarahia jambo na
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mkinga,Rashid Gembe mara baada ya
kufungua kikao cha pamoja baina ya Mfuko huo na watumishi wa
Halmashauri hiyo kuhusu umuhimu wa kujiunga na mfuko huo ili kuweza
kunufaika na huduma zinazotolewa.
Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
Mkoani Tanga (NHIF)
Miraji Kisile akieleza umuhimu wa watumishi wa halmashauri hiyo kujiunga
na mfuko huo ili kuweza kunufaika na huduma zinazotolewa wakati wa
kikao hicho kilichofanyika ukumbi wa Halmashauri hiyo
Daktari akiwapima baadhi ya
watumishi wa halmashauri huo
Daktari akiwapima baadhi
ya watumishi wa halmashauri huo
Afisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya
Afya (NHIF) Juliana Mathias wa pili kulia akiwapima baadhi ya watumishi
wa Halmashauri hiyo uzito wakati wa uhamasishaji huo
Baadhi ya watumishi wa
Halmashauri ya wilaya ya Mkinga wakifuatilia kikao hicho
Baadhi ya watumishi wa
Halmashauri ya wilaya ya Mkinga wakifuatilia kikao hicho
Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
0 comments:
Post a Comment