Roma Mkatolili akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta katika Tamasha hilo liliofanyika katika viwanja vya Mkwakwani Jijini Tanga usiku wa Ijumaa . |
Nahreel na Aika toka Kundi la Navykenzo wakilishambulia jukwaa la Tigo Fiesta katika viwanja vya Mkwakani Jijini Tanga |
Shetta akiwa na wacheza wake akitoa burudani kwa maelf ya mashabiki waliojitokeza katika Viwanja vya Mkwakwani usiku wa Ijumaa |
Kundi la weusi wakitoa burudani na michano ya nyimbo zao kali kwa wapenzi wa muziki waliojitokeza katika Tamasha la burudani la Tigo Fiesta jijini Tanga |
Barnaba akiwa kwenye jukwaa la Tigo fiesta uwanja wa Mkwakwani Tanga usiku wa ijumaa hii |
Benpol akitumbuiza kwa Style ya Mduara na wacheza shoo wake |
DOGO JANJA naye akiwakonga wapenzi wa muziki waliojitokeza katika Tamasha la Tigo fiesta |
Makomandoo wakionesha umahiri wao wa kumiliki jukwaa |
Maua Sama naye aliwakonga nyoyo wapenzi wa burudani waliojitokeza kwa wingi katika Tamasha la Tigo Fiesta jijini Tanga |
Nay wa Mitego akilivamia jukwaaa la Tigo Fiesta katika Tamasha hilo lililofanyika katika viwanja vya Mkwakani usiku wa ijumaa wiki hii |
0 comments:
Post a Comment