Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mgombea
mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu
Hassan akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na wananchi wa Jimbo la
Kilindi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni Mkoa wa Tanga. Miongoni mwa
ahadi aliyoitoa kwa wanaKilindi ni kulishughulikia suala la upatikanaji
wa huduma za maji safi na salama pamoja na ujenzi wa barabara ya
kuingia na kutoka katika Wilaya hiyo.
|
Baadhi ya wananchi na wanachama wa CCM Kijiji cha Kwediboma wakiwa wamesimamisha msafara wa mgombea mwenza
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan
kuwasikiliza kilio chao alipokuwa akisafiri kuelekea Wilaya ya Kiteto.
Baadhi ya ahadi aliyoitoa Bi. Samia ni pamoja na upimaji wa ardhi ya
vijiji na wilaya ili kumaliza migogoro ya ardhi kwa wafugaji na
wakulima. |
|
Katibu
wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga akizungumza na wanaCCM na wananchi
katika mkutano mdogo wa kampeni wa mgombea mwenza wa nafasi ya urais,
Bi. Samia Suluhu Hassan uliofanyika Kilindi, Tanga. |
|
Mgombea
ubunge wa CCM Jimbo la Chemba, Juma Nkamia akizungumza na wanaCCM na
wananchi katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa nafasi ya urais
wa chama hicho, Bi. Samia Suluhu Hassan Wilaya ya Chemba. Miongoni mwa
ahadi kwa wakazi wa eneo hilo alizozitoa ni kushughulikia migogoro ya
ardhi suala la ukame na huduma za maji. |
|
Kutoka
kulia ni mgombea ubunge wa Jimbo la Kilindi, Mboni Muhita akiserebuka
na baadhi ya viongozi na makada wa CCM walioongozana kwenye kampeni za
mgombea mwenza Wilaya ya Kilindi. |
|
Mgombea
mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu
Hassan (kulia) akimtambulisha mgombea ubunge wa Jimbo la Kilindi, Mboni
Muhita kwa wanachama wa CCM pamoja na wananchi wa Jimbo la Kilindi
kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni Mkoa wa Tanga. |
|
Mgombea
mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu
Hassan (kulia) akionesha nakala ya ilani ya chama hicho kwa wananchi
kabla ya kumkabidhi, mgombea ubunge wa Jimbo la Kilindi, Mboni Muhita
kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni Mkoa wa Tanga. |
|
Mgombea
ubunge wa Jimbo la Kilindi, Mboni Muhita akionesha kwa wananchi nakala
ya ilani ya uchaguzi ya chama hicho mara baada ya kukabidhiwa na mgombea
mwenza kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni Mkoa wa Tanga. |
|
Mgombea
mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu
Hassan akimtambulisha mmoja wa wagombea wa udiwani CCM katika mkutano wa
hadhara Jimbo la Kilindi. |
|
Baadhi ya wananchi na wanachama wa CCM Kijiji cha Kwediboma wakiwa wamesimamisha msafara wa mgombea mwenza
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan
kuwasikiliza kilio chao alipokuwa akisafiri kuelekea Wilaya ya Kiteto. |
|
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM Taifa, Ummy Mwalimu (kushoto) na Mahadhi Juma wakijadili jambo kwenye moja ya mikutano ya kampeni ya mgombea mwenza. |
|
Aliyekuwa
mbunge wa Jimbo la Nkenge, Asumpta Mshama akizungumza na wanaCCM na
wananchi katika mkutano wa hadhara Jimbo la Kilindi kunadi ilani ya CCM. |
|
Baadhi
ya wananchi wakiwa wamesimama juu ya kisiki kuweza kumshuhudia mgombea
mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu
Hassan alipokuwa akiwasili Jimbo la Kilindi. |
|
Baadhi ya wananchi na wanachama wa CCM Kijiji cha Kwediboma wakiwa wamesimamisha msafara wa mgombea mwenza
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan
kuwasikiliza kilio chao alipokuwa akisafiri kuelekea Wilaya ya Kiteto. |
|
Mgombea
mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu
Hassan akivishwa skafu kwa heshima na vijana wa UVCCM mara baada ya
kuwasili katika Wilaya ya Kiteto ambapo alifanya mikutano ya kampeni
kunadi ilani ya CCM. |
|
Mgombea
mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu
Hassan akiwasili katika ofisi za CCM Wilaya ya Kiteto kabla ya
kuanzamikutano ya kampeni kunadi ilani ya CCM. |
|
Mgombea
mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu
Hassan akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na wananchi wa Jimbo la
Kiteto kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni Mkoa wa Manyara. Katika
ahadi zake alisema ndani ya miaka miwili baada ya kuingia madarakani
watahakikisha umeme unawaka katika vijiji vyote vya Tanzania. |
|
Mgombea
ubunge wa CCM Jimbo la Kiteto, Emmanuel Papian John (kushoto)
akitambulishwa kwa wananchi na WanaCCM na Mgombea mwenza wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan. |
|
Sehemu
ya wanaCCM na wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara wa
mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akinadi ilani
ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Chemba, Wilaya ya Chemba. |
|
Mgombea
ubunge wa CCM Jimbo la Chemba, Juma Nkamia akizungumza na mgombea
mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu
Hassan kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jimboni humo. |
|
Mgombea
ubunge wa CCM Jimbo la Chemba, Juma Nkamia (kulia) akizungumza na
wanaCCM na wananchi katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa
nafasi ya urais wa chama hicho, Bi. Samia Suluhu Hassan Wilaya ya
Chemba. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa. |
|
Mgombea
mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu
Hassan akizungumza jambo na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kwenye mkutano wa
hadhara Jimbo la Chemba. |
|
Mgombea
mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu
Hassan akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na wananchi wa Jimbo la
Chemba kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni Wilaya ya Chemba. Picha zote
na www.thehabari.com. |
0 comments:
Post a Comment