Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Jaji Mkuu Mhe.Mohamed Chande Othman
kufuatia kifo cha mwanaye Said Mohamed Chande wakati Rais alipokwenda
Chumbageni Tanga kuhudhuria mazishi ya marehemu.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Jaji Mkuu Mhe.Mohamed Chande Othman
kufuatia kifo cha mwanaye Said Mohamed Chande wakati Rais alipokwenda
Chumbageni Tanga kuhudhuria mazishi ya marehemu.
Jaji Mkuu
Mhe.Mohamed Chande Othman akiweka udongo katika kaburi la mwanaye Said
Mohamed Chande wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya
Chumbageni Tanga leo jioni.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la Marehemu Said
Mohamed Chande wakati ya mazishi yaliyofanyika katika eneo la Chumbageni
Tanga leo.Marehemu Said ni Mtoto wa Jaji Mkuu Mhe.Mohamed Chande
Othman.
Makamu wa Rais
Dkt.Mohamed Gharib Bilal akiweka udongo katika kaburi la mrehemu Said
Mohamed Chande wakati wa mazishi yaliyofanyika huko Chumbageni Tanga.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Jaji Mkuu Mhe.Mohamed
Chande Othman(aliyesimama pembeni ya Rais) kufuatia kifo cha mwanaye
Said Mohamed Chande mjini Tanga.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal,Jaji
Mkuu Mhe.Mohamed Chande Othman wakiomba dua wakati wa mazishi ya
marehemu Said Mohamed Chande ambaye ni mtoto wa jaji mkuu yaliyofanyika
katika makaburi ya familia huko Chumbageni Tanga leo jioni
(picha na Freddy Maro)
0 comments:
Post a Comment