Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akitoa hotuba yake ya Uzinduzi wa wiki ya Nenda Kwa Usalama Barabarani
2015 wakati wa sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Tangamano mjini
Tanga leo.Kauli mbiu ya mwaka huu ni Endesha salama okoa maisha.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akikaribishwa na Kamanda wa mkuu wa Usalama Barabarani Tanzania Naibu
Kamishna wa Polisi, Mohamed Mpinga wakati Rais alipowasili katika
viwanja vya Tangamano mjini Tanga kuzindua rasmi maadhimisho ya wiki ya
nenda kwa usalama barabarani yenye kauli mbiu endesha Salama Okoa
maisha.
Baadhi ya wanafunzi wakiandamana
na mabango yenye ujumbe mbalimbali kuhusu usalama barabarani wakati wa
maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani yaliyofanyika katika
viwanja vya Tangamano mjini Tanga leo(picha na Freddy Maro).
0 comments:
Post a Comment