Home » » MISA YA SHUKRANI YA KUTIMIZA MIAKA SABA YA MAMA AURELIA KOBULUNGO MUGANDA TANGU ALIPOITWA NA MWENYEZI MUNGU ILIYOFANYIKA NYUMBANI KWA MTOTO WAKE FR.JAMES RUGEMALIRA MAKONGO JUU JIJINI DAR ES SALAAM

MISA YA SHUKRANI YA KUTIMIZA MIAKA SABA YA MAMA AURELIA KOBULUNGO MUGANDA TANGU ALIPOITWA NA MWENYEZI MUNGU ILIYOFANYIKA NYUMBANI KWA MTOTO WAKE FR.JAMES RUGEMALIRA MAKONGO JUU JIJINI DAR ES SALAAM



Mama Aurelia Kobulungo Muganda enzi za uhai wake
 Kaburi la Mama Aurelia linavyoonekana
 Altare iliyoandaliwa kwa ajili ya misa takatifu ya shukrani kwa ajili ya Mama Aurelia
Fr Mukandara akibariki maji yaliyochanganywa na chumvi ambayo yalitumika kubariki kaburi. (Imeandaliwa na www.habari za jamii.com)
Padri Mukandara akibariki kaburi
Ni wakati wa kuanza ibada takatifu ya misa ya shukrani. Wanafamilia wakielekea kwenye ukumbi maalumu. 
Bwana na Bibi Fr. James Rugemalira wakiwaongoza mapadre kuelekea kwenye misa takatifu
Paroko wa Kanisa Katoliki Makongo Juu Joseph Masenge akisisitiza jambo wakati wa misa hiyo
Jopo la mapadre walioshiriki katika misa hiyo takatifu
Wanakwaya kutoka kanisa la Makongo Juu wakitumbuiza katika misa hiyo
Wanafamilia kutoka kushoto Everine Rugemalira, Joe Mgaya na Jerome Rugemalira wakifuatilia kwa karibu ibaada ya misa hiyo
Wageni mbalimbali wakitafakari matendo makuu ya Mungu kwenye ibadaa hiyo
Waalikwa mbalimbali wakiwa kwenye ibaada hiyo





Wanafamilia wakiwa kwenye ibaada hiyo

Mmm ni upendo ulioje unapoona kusanyiko kubwa kama hili


Mdau Joyce (katikati) hakupenda kukosa ibaada hiyo takatifu 
Paroko Masenge akipokea vipaji mbalimbali kutoka kwa watukuu wa Bibi Aurelia. (Imeandaliwa na www.habari za jamii.com) 
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Tanga Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa