Home » » BASI DOGO AINA YA COASTER LAPATA AJALI MOMBO NA KUJERUHI KADHAA

BASI DOGO AINA YA COASTER LAPATA AJALI MOMBO NA KUJERUHI KADHAA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Ajali imetokea mombo leo hii. Coastal iliyoanguka ilikuwa na watu 25, Mungu kasaidia hakuna aliyekufa. Hongereni sana madaktari wa Magunga kwa kazi nzuri! - Mkuu wa wilaya ya Lushoto, Mrisho Gambo. 




 Tunawapa pole majeruhi wote na tunawatakia nafuu ya haraka

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Tanga Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa