Baadhi
ya Washiriki wa Kongamano la uwekezaji kwa mikoa ya Kanda ya Kaskazini
wakimsikiliza Waziri mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua kongamano
lao kwenye hoteli ya Mkonge mjini Tanga , Septemba 26, 2013. (Picha na
ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitazama sketi iliyoshonwa kwa mtindo wa vazi la
asili la watu wa Hanang wakati alipotembelea banda la Wilaya hiyo
katika maonyesho yaliyoambatana na Kongamano la Uwekezaji la Kanda ya
Kaskazini lililofunguliwa na Waziri Mkuu kwenye hoteli ya Mkonge Mjini
Tanga Septemba 26, 2013. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu, Uwezeshajina Uwekezaji ambaye pia ni Mbunge wa Hanang, Dr.Mary
Nagu, Wapili Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Galawa na wapili
kulia ni Mkuu wa WIlaya ya Hang, Christina Mdeme. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment