Home » » REDD'S MISS TANGA WAJINOA VILIVYO

REDD'S MISS TANGA WAJINOA VILIVYO


 
Washiriki wa shindano la Redd's Miss Tanga wakiwa katika mazoezi ya kujiandaa na shindano la mkusaka malkia wa Miss Tanga, litakalofanyika Juni 22 kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini humo. Mazoezi yanafanyika katika ukumbi wa Lavida.

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Tanga Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa