Home » » MBUNGE AKABIDHI MASHINE YA MAJI KATA YA MWERA PANGANI

MBUNGE AKABIDHI MASHINE YA MAJI KATA YA MWERA PANGANI


Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Tanga Amina Mwidau (CUF), kikabidhi pampu ya Maji kwa Diwani wa kata ya Mwera Mkaidi Maisha(CUF),aliyemama kulia na kushoto ni Mtendaji wa kijiji cha Mwera Yoweli Halimoja.
Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Tanga Amina Mwidau (CUF), kikabidhi, waya kwa ajili ua kufungia pampu ya maji kwa Diwani wa kata ya Mwera Mkaidi Maisha jana wilayani Pangani. Picha na Bakari Kimwanga, Pangani
Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Tanga Amina Mwidau (CUF), akimkabidhi mpira kwa kiongozi wa timu ya Mwera FC Saidi Mohammed jana wilayani Pangani.

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Tanga Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa