Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mamia ya wakaazi wa jiji la Tanga leo baada ya kuwasili kuwa mgeni rasmi kesho katika sherehe za Mei Mosi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya Wazee wa jiji la Tanga leo baada ya kuwasili kuwa mgeni rasmi kesho katika sherehe za Mei Mosi.
0 comments:
Post a Comment