Meneja wa mfuko wa pensheni wa PPF kanda ya kinondoni Bi. Zahara Kayugwa (katikati) akiwa na wajumbe wa mkutano mkuu wa Tanzania Chamber of Commerce,Industry and Agriculture (TCCIA) Mjini Tanga.PPF alitoa elimu kwa wajumbe wa mkutano huo juu ya umuhimu wa kujiunga na mfuko wa pensheni wa PPF.
Meneja wa mfuko wa Pensheni wa PPF kanda ya kinondoni Bi.Zahara Kayugwa akifurahi jambo na Regional Administrative secretary RAS wa mkoa wa Tanga Ndugu.Ole Kuyani mara baada ya kutoka katika mkutano wa TCCIA.
Meneja wa mfuko wa Pensheni wa PPF kanda ya kinondoni Bi.Zahara Kayugwa akizungumza jambo na Mkuu wa wilaya ya Tanga mjini Ndugu.Dr.Ibrahim Msengi mara baada ya kutoka katika mkutano wa TCCIA.
0 comments:
Post a Comment