Home » » TEA NA CRDB YAKABIDHI VITANDA NA MAGODORO SHULE YA SEKONDARY PANGANI

TEA NA CRDB YAKABIDHI VITANDA NA MAGODORO SHULE YA SEKONDARY PANGANI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.


Meneja wa CRDB tawi la Kibaha Bi. Rosemary Nchimbi akiongea wakati wa hafla ya kukabidhi Vitanda vya double deka 24 na Magodoro 48  kwa ajili ya bweni la wanawake kwenye shule ya sekondari Pangani ambapo alisema kuwa lengo la kutoa msaada wa vifaa hivyo ni kwa ajili ya kusaidia kutatua changamoto zilizokuwa zikiwakabili watoto wakike katika shule hiyo ikiwamo kusafiri umbali mrefu kuja shuleni.
 

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Tanga Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa