Home » » KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI ZIMAMOTO AFUNGA MAFUNZO YA WAHITIMU 156

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI ZIMAMOTO AFUNGA MAFUNZO YA WAHITIMU 156

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Meja Jenerali Projest Rwegasira (katikati) akifurahia jambo wakati Gwaride lilipokua likiendelea mara alipofika Chuoni hapo kufunga mafunzo ya wahitimu 156  wa Kozi ya Uongozi Daraja la Pili, Chuo cha Zimamoto na Uokoaji katika Kijiji cha  Cogo kilichopo Wilaya ya Jimbo la Handeni Mkoa wa Tanga, kulia ni Mrakibu Msaidizi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Athumani  Rwahila na kushoto ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mmoja wa wahitimu hao pichani Abdallah Ulutu akiwa tayari ametunukiwa cheo chake
Wahitimu hao wakiwa katika Gwaride








Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Meja Jenerali Projest Rwegasira (wa pili kushoto) akikagua Gwaride

Gwaride likipita mbele ya Mgeni Rasmi





Mgeni Rami katika picha ya pamoja na baadhi ya wahitimu na viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Handeni Tanga, Husna Msangi  wapili kushoto na kuanzia kilia ni Mrakibu Msaidizi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Athumani  Rwahila, Sajenti Damian Muheya ambapo ni Afisa habari wa Jeshi hilo na anae fatia ni Kamishna Jenerali Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye


0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Tanga Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa