Home » » BREAKING NEWS: SHEHENA YA MILIPUKO AINA YA EXPLOGEL V6 YAKAMATWA NDANI YA BASI LA KLM EXPRESS MCHANA HUU

BREAKING NEWS: SHEHENA YA MILIPUKO AINA YA EXPLOGEL V6 YAKAMATWA NDANI YA BASI LA KLM EXPRESS MCHANA HUU

Kwa Taarifa ambazo Bado Hazijathibitishwa Rasmi zinasema kwamba kuna Shehena kubwa ya Milipuko ya hatari inayotumika kutengenezea  Mabomu ya Kuvulia samaki kwa kuwa inaweza ikahimili hata ndani ya maji na Kwa ajili ya Kutengenezea Milipuko ya kupasulia Miamba Migumu Imekamatwa Eneo la Korogwe Mchana Huu Wakati wa Jeshi la Polisi walipokamata Basi la KLM EXP lenye usajili wa namba T491 ARB kwa ajili ya Ukaguzi. Milipuko hiyo ambayo imesafirishwa kwa njia ambayo sio sahihi kutokana na hatari yake ya kuwa kulikuwa na abiria na kama Basi Lingetingishika zaidi Ingeweza Kulipuka .
Taarifa zaidi itakuja hapa.. fuatilia 
Baada ya kukamatwa

 
 Basi Hilo baada ya Kukamatwa
 
 Milipuko hiyo baada ya kukamatwa mchana huu
 Askari wa Jeshi la Polisi Katika Kituo cha Korogwe akikagua Milipuko hiyo 

Ufahamu hapa Mlipuko huo
 

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Tanga Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa